Sifuri ni number sio number

Sifuri ni number sio number

REALITY

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
4,313
Reaction score
1,852
hello,
kama number yeyote gawanya kwenye ni moja,je sifuri ni number au lah ,kama ni number basi 0 gawanya 0 ni moja au 1,kama sio number ni nini?
 
Kwa maana hiyo zero sio namba ikiwa peke yake hadi iwe na namba eg 10 20 30 40 60 .........
 
Zero ni namba. . Inadescribe no quantity
 
Zero ni namba
unajua 1/1 =1, lakini
1/0.1 = 10,
1/0.01 = 100,
1/0.001 = 1000, inagawanyika inazidishika
cc PURE MATHEMATICIAN
 
Last edited by a moderator:
Tafuta katui ya ubongo kids, wimbo unaitwa SIFURI NI NINI.
 
mkuu umechanganya kati ya real numbers na natural numbers

0 ni natural number lakini siyo real number
real numbers zote[no. zinazoanzia na 1,2,3...]ndiyo zinazo obey sheria hiyo na sio natural No.

0= whole number
 
Zero ni real number ila sio natural number.
 
Kwanza any number divided by zero is infinity

Zero is a whole and not natural number

Zero is also called a real number.
 
hello,
kama number yeyote gawanya kwenye ni moja,je sifuri ni number au lah ,kama ni number basi 0 gawanya 0 ni moja au 1,kama sio number ni nini?

Note:A number is a symbol or word that represents an amount or quantity, thus zero (0) is a symbol which denotes nothingness in maths. It is a number of course.
 
Back
Top Bottom