Sigara hupunguza nguvu za kiume

Dalton elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
373
Reaction score
829
SIGARA: Uchunguzi uliofanyika kwa wanaume 50,360 ulionesha uhusiano wa karibu kati ya idadi ya sigara & muda unaotumika kuvuta na hatari ya mwanaume kupungukiwa nguvu zake za kiume (Erectile Dysfunction) kwani sigara huzuia mzunguko wa damu kote mwilini, ikiwemo na sehemu za siri ...

Sources : Afya Facts
 
Mkuu, kama damu inazuia mzunguko wa damu, watu si wangekuwa wamekufa?

Kama huna nguvu, huna tu.
 
Hii itakuwa kweli,tangu nimeacha nina nyege balaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…