Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
🙄 You're both crazy!Kwa kweli nilishituka nikataka kudondosha bia yangu.
Hahaaaaa ha heeehheheheeh kwikwikwikwi jamani mbavu zangu!!!
Jamani hapa duniani kuna watu wana mambo ya ajabu, juzi nikiwa kanisani nilikaa karibu na kijana mmoja. Kijana huyu badala ya kusikiliza mahubiri yaliyokuwa yanatolewa na Padri pale kanisani akachukua sigara yake akawa anavuta pale pale alipoketi. Kwa kweli nilishituka nikataka kudondosha chupa yangu ya bia. Nilishangaa sana.
---Nani aliyesema kuwa kuvuta sigara ni dhambi?!
Are you kidding? inside a church? thats blasphemy!