Sigara kanisani

Sigara kanisani

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,120
Reaction score
3,468
Jamani hapa duniani kuna watu wana mambo ya ajabu, juzi nikiwa kanisani nilikaa karibu na kijana mmoja. Kijana huyu badala ya kusikiliza mahubiri yaliyokuwa yanatolewa na Padri pale kanisani akachukua sigara yake akawa anavuta pale pale alipoketi. Kwa kweli nilishituka nikataka kudondosha chupa yangu ya bia. Nilishangaa sana.
 
Last edited:
mlikuwa nali jambo. wote mtaenda kwa Pilato kujibu madhambi yenu. Toa boriti kwenye jicho lako ndio umwambie mwenzio atoe kibanzi kwake.
 
Hahaaaaa ha heeehheheheeh kwikwikwikwi jamani mbavu zangu!!!
 
Jamani hapa duniani kuna watu wana mambo ya ajabu, juzi nikiwa kanisani nilikaa karibu na kijana mmoja. Kijana huyu badala ya kusikiliza mahubiri yaliyokuwa yanatolewa na Padri pale kanisani akachukua sigara yake akawa anavuta pale pale alipoketi. Kwa kweli nilishituka nikataka kudondosha chupa yangu ya bia. Nilishangaa sana.

mmmmmmmmmmmmm, Bubu Msemaovyo, umeanza vituko,nafikiri unakaribisha mwisho wa ramadhan
 
Bubu nilikua nyuma yako,sorry nilikaa kwenye kiti nyuma yako niliona ulipodondosha bia mi nilikua naangalia porn kwenye simu.Nice joke.
 
Back
Top Bottom