Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa nini serikali zote duniani zinaendesha vita dhidi ya matumizi ya bangi mpaka leo lakini zikiiacha sigara kuwa biashara halali wakati tafiti za kutosha zinaonyesha sigara ni chanzo cha matatizo mengi sana makubwa ya kiafya kwa binadamu tofauti na bangi?
Tafiti zimeonyesha sigara ni kichochezi kikubwa cha kansa nyingi, matatizo ya mapafu, kisukari, TB na mambo mengine mabaya mengi.
Kwa upande wa bangi hakuna tafiti za kutosha kuonyesha kwa ufasaha hasa madhara yake kwa binadamu ila pamoja na hayo imekuwa ikipigwa vita kali sana na serikali zote duniani huku sigara ikanadiwa na kuwekewa hadi taadhari kuwa ni mbaya kwa afya!