Sigara za Kielektroniki za Bangi pisi 50 za kamatwa Dar

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Kamishna Jenerali Lyimo amefafanua kuwa, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam, amesema, jijini Dar es salaam, kwenye klabu ya “Bad London” iliyopo Temeke kwa Azizi Ally na klabu ya “Sanaa” katika eneo la “Reggae bar” iliyopo Masaki, walikamata sigara za kielektroniki (E - Cigare e) pisi 50 zilizotengenezwa kwa bangi zenye ujazo wa mililita 10 kila moja.

Sigara hizo za kielekroniki zilizotengenezwa kwa kutumia kemikali pamoja na skanka ziliingizwa nchini kutokea Uingereza. Miongoni mwa Kemikali hatarishi kwenye bangi hizo ni pamoja na THC, benzene na madini ya cadmium, lead, na mekyuri.
 
Bora hawa wa bangi kuliko Abdul na mama yake kwa ufisadi.
 
Back
Top Bottom