Sigara zazidi kuchoma zana za Vita za Urusi huko Crimea

Sigara zazidi kuchoma zana za Vita za Urusi huko Crimea

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
667
Reaction score
1,582
Sigara hiyo ya hatari ambayo imefanya Urusi wanajeshi wake kuondoka Kherson

Na imelipotiwa ndio iliochoma ndege za kivita na kushambulia Depot ya uhifadhi Siraha zao huko Crimea

Vitisho vya Sigara hiyo vimepelekea vikosi vya Urusi kuweka kambi maeneo hatarishi kama kwenye vinu vya nyuklia sababu Sigara hiyo isingeweza kufikia na kukiamsha kwa wana Z

Katika kutafuta kuingiza Belarus katika vita Urusi imeanza kutengeneza mitambo ya kurusha makombora yake Kyiv ya kila aina

Ambapo ni kama kitisho cha kubargain ukiendelea Sumbua Crimea na sisi tutaipiga Kyiv kutokea Belarus ili sababu utakapotushambulia huku Belarus basi utatusaidia kuiingiza Belarus kwenye vita yetu (akili kumkichwa)

Lakini hatujui mpaka leo Magari yaliyokuwa kwenye msafara wa zaidi kilomita moja yaliishia wapi mpaka leo. Urusi ni ileile tu ya Mikwara kwa kwenda mbele

Kwa hisani ya Na log off Z

Screenshot_20220815-190124.jpg
 
Cha kushangaza URUSI ndiye anayepigwa ila anazidi kusonga mbele kuchukua maeneo.sasa ivi vita vya kharkiv vimerudi tena
 
Hivi zile Drones za Uturuki ziliishia wapi,tuwe wawazi hii vita itamkomaza sana mrusi,atakuwa chuma kweli kweli maana anapata nafasi ya kugundua mapungufu ya siraha zake na za aduia zake
Wakati huo adui yake katoa kidogo tu wasije iba Teknolojia maana tulisikia Russia mara anasiraha za Teknolojia za hali ya juu sana sijui mashetani yamekula,
Anazidi kupigika tu
 
Back
Top Bottom