Sigara zazidi kuchoma zana za Vita za Urusi huko Crimea

Cha kushangaza URUSI ndiye anayepigwa ila anazidi kusonga mbele kuchukua maeneo.sasa ivi vita vya kharkiv vimerudi tena
toka mme anza kusema Russia ana songa mbele anasonga kuelekea wapi??
mliiingia kwa mbwembwe ukraine mkatandaza limsafara la magari zaidi ya 1Km kwenda kyiv kipigo mlicho kura mkarudisha majesh nyuma leo mnasema mnasonga mbele mnasonga mbele kuelekea wapiiii?
 
Cha kushangaza URUSI ndiye anayepigwa ila anazidi kusonga mbele kuchukua maeneo.sasa ivi vita vya kharkiv vimerudi tena
Sasa si atakuwa keshaichukua Ukraine nzima!, Make kila siku mnatuambia hapa urusi anazidi kusonga mbele kuchukua maeneo, na nakumbuka kipindi Cha nyuma mlitualeza ana msafara mrefu wa vifaru unaelekea Kyiv lakin ajabu hamtupi update kama ushafika au umekaribia kufikia au bado sana kufika.
 
Hivi zile Drones za Uturuki ziliishia wapi,tuwe wawazi hii vita itamkomaza sana mrusi,atakuwa chuma kweli kweli maana anapata nafasi ya kugundua mapungufu ya siraha zake na za aduia zake
Tuulizane kwanza ule msafara wa vifaru uliishia wapi?
 
Ukiangalia hiyo Raman kwa ukubwa wa Russia ni kama mara 20 ya Ukraine. Ni wanaumme kwa jinsi walivypombana Hadi Sasa. Kwa ukubwa wa jeshi na zana zake. Comedia ni mwanaume sana. Hivi tuseme tu ukweli hivi jirani yako akiwa tajiri akavamia kwako utaacha afanye anavyotaka hata kukunyanganya mke wako kwa kua ana nguvu unamwangalia tu. Hii ngumu sana aisee

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…