Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu jamaa kwa kusimamia kweli ya dini yake alishindwa kufanya kazi na madhalim CCM.
Yule nina uhakika hata swala yake Mungu huwa anaisikia vizuri sana.
Huyu Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi nadhani analiumiza tu paji lake la uso. Hapaswi kuitwa muislam safi maana huwezi kuwa muislam safi alafu ukashiriki kutenda udhalimu wa CCM.