Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mungu anakaa kwenye Haki na kweli.Unajipa Umungu sasa kwa mambo yasiyo na maana!
Usimuhukumu mtu. Ikiwa anahujumu wengine kwa makusudi na yeye akijua kwamba anafanya dhuluma, hio ni janga kubwa kwake, akiondoka ktk dunia hii ni majuto yasiokifani, kama anatenda haki hilo ni bora kwake. Yeye ndio anaejua zaidiKwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu jamaa kwa kusimamia kweli ya dini yake alishindwa kufanya kazi na madhalim CCM.
Yule nina uhakika hata swala yake Mungu huwa anaisikia vizuri sana.
Huyu Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi nadhani analiumiza tu paji lake la uso. Hapaswi kuitwa muislam safi maana huwezi kuwa muislam safi alafu ukashiriki kutenda udhalimu wa CCM.
Hakuna anayehukumu. Tunasema kweli.Usimuhukumu mtu. Ikiwa anahujumu wengine kwa makusudi na yeye akijua kwamba anafanya dhuluma, hio ni janga kubwa kwake, akiondoka ktk dunia hii ni majuto yasiokifani, kama anatenda haki hilo ni bora kwake. Yeye ndio anaejua zaidi
Mabeberu wanafanya kazi ya Mungu?Mungu anakaa kwenye Haki na kweli.
Nimesema ukweli. Nimefanya kazi ya Mungu.
KABISA.Kwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu jamaa kwa kusimamia kweli ya dini yake alishindwa kufanya kazi na madhalim CCM.
Yule nina uhakika hata swala yake Mungu huwa anaisikia vizuri sana.
Huyu Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi nadhani analiumiza tu paji lake la uso. Hapaswi kuitwa muislam safi maana huwezi kuwa muislam safi alafu ukashiriki kutenda udhalimu wa CCM.
Unajitoa ufahamu kwa kufuru na mavitu yasiyo na maana wacha nikuache!Mungu anakaa kwenye Haki na kweli.
Nimesema ukweli. Nimefanya kazi ya Mungu.
Hakuna kufuru hapa. Huu ndo ukweli.Unajitoa ufahamu kwa kufuru na mavitu yasiyo na maana wacha nikuache!
Kama yule Chief Judge wa BSS, huyi ni Chief Mwizi wa kuiba kura. Kama pepo ipo kweli ataisikia tu kwa mbali. Ila nahisi kama wanaadamu wamegundua kama pepo haipo maana haya matendo hayana uoga wa Mungu. Imani zimekuwa ushabiki tu kama wa simba na yangaKwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu jamaa kwa kusimamia kweli ya dini yake alishindwa kufanya kazi na madhalim CCM.
Yule nina uhakika hata swala yake Mungu huwa anaisikia vizuri sana.
Huyu Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi nadhani analiumiza tu paji lake la uso. Hapaswi kuitwa muislam safi maana huwezi kuwa muislam safi alafu ukashiriki kutenda udhalimu wa CCM.
Mngeanza kumsema kichwa ngumu Tundu Lissu kabla ya kuushambulia uislam wa Kailima. Mnafuga ujuaji na siku zote unawaangusha.Kwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu jamaa kwa kusimamia kweli ya dini yake alishindwa kufanya kazi na madhalim CCM.