Kweli kabisayap zipo tena humu full comfidence hata unaweza kumtaja huyo mtu kwenye signature, hizi signature kama status za kule what sap, mtu uko bored au uko broken utatupia kule ili X wako aione
au umependa gal flani ambaye katupia mawani meusi... utatupia kumsifia au kuomba date
Mwambie kwanza aache kuchepuka kwa speed ya mwanga!Bad girl gone good by Salt
Ngoja nimuulize Tuta Bii hahahahaahRafiki leo ulabu ni wapi?[emoji16][emoji16][emoji16]
The world is full of suprisesWanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.
Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:
Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone
Nawapenda wanajf wote!!!
Hem weka yako nioneNzuri hata hii
FURAHIA MWISHO, USIFURAHIE MWANZOHem weka yako nione
Naomba nije nikusugue babuKwa mara ya kwanza nami nimemsuuza mchuchu kumoyo. Leo lazima nikaogee magadi...
Kila penye uzito na wepesi upo"Da Nahuja kumbe ya kwangu hujaisoma eeeeee? πππππ
(Nakutania Dada)
πππππ sawa Dada.Iko vizuri
Kila penye uzito na wepesi upo"