Signature za hawa wanaJF zina ujumbe mzito sana

Signature za hawa wanaJF zina ujumbe mzito sana

yap zipo tena humu full comfidence hata unaweza kumtaja huyo mtu kwenye signature, hizi signature kama status za kule what sap, mtu uko bored au uko broken utatupia kule ili X wako aione

au umependa gal flani ambaye katupia mawani meusi... utatupia kumsifia au kuomba date
Kweli kabisa
 
WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.

Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:

Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone


Nawapenda wanajf wote!!!
The world is full of suprises
 
Back
Top Bottom