Uje without kabisa ili tusipoteze muda...Naomba nije nikusugue babu
OhooooNgoja nimuulize Tuta Bii hahahahaah
Ha ha haa kwa sasa huko hakufai baharini ni ni zaidi ya gymAfadhali unaenda baharini....nlifikiri unaenda gym
Na mara nyingi utam wa mwisho ndo unanoga." FURAHIA MWISHO USIFURAHIE MWANZO"
[emoji108][emoji108]
Kweli kabisa Manga.Na mara nyingi utam wa mwisho ndo unanoga.
Ukibahatika kuanza kwa furaha na kumaliza hivyo utakua umefaidi dunia yote
duu! aisee!Asante mkuu NAHUJA ngoja nikupe kisa kdgo kilichonifanya nije na hio signature.. miaka kadhaa iliyopita kipindi nipo chuo kuna binti alikuwa akimzengua sana best yangu kila alipoombwa utam in peacefully way alikuwa akigoma, yani hata akija getho mshkaji hakufanikiwa kupewa utam. Ikafika kipindi Jamaa akagive up kabisa akaamua awe mpenzi mtazamaji. Siku moja wanatoka discussion mida ya saa nne usiku Jamaa akamchombeza demu kimasihala tu kwenye kichaka hali ya hewa inaruhusu, wapo wawili, na kagiza kale basi mshkaji akatunukiwa unexpectedly pale pale.. mpaka leo best yangu lile tukio lipo akilin mwake na akiwa na fumbo kubwa kuhusu wanawake.
Na mara nyingi utam wa mwisho ndo unanoga.
Ukibahatika kuanza kwa furaha na kumaliza hivyo utakua umefaidi dunia yote
ππππKweli kabisa Manga.
Mkuu nimekumic banaDa Nahuja kumbe ya kwangu hujaisoma eeeeee? πππππ
(Nakutania Dada)
NDIO HIVYO napenda sana hizo signature zaoAitheee
Mkuu huwa inanipa tafakarishi sana hiyo signature yakoππππππππ sawa Dada.
Ha ha ha ha haaaaaaaaWanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.
Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:
Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone
Nawapenda wanajf wote!!!
Hata avatar zao mfano hii yako hapaHa ha ha ha haaaaaaaa
Mkuu inaonekana ulikuwa na ka utafiti ka chini kwa chini juu ya signature za wana JFππ
H aha ah ah ha haaaaaaaaaaaHata avatar zao mfano hii yako hapa
View attachment 894566
Mtoto atakuwa katili sana huyo akiwa mkubwa. hahahahaha
Nami pia jamaani. Mie Alhamdulillah. Sijui weye na wanaokuzunguka?Mkuu nimekumic bana
Mizima weyeeeeeee
Kuna signature nyingine ya mwanajf PROF NDUMILAKUWILI sema tu kwa sasa ameitoa ilikuwa na yenyewe inanipa raha: ilisomeka:H aha ah ah ha haaaaaaaaaaa
Unanivunja mbavu zangu Mkuu
Huyo dogo akikua inabidi apelekwe kitengo maalum cha ulinzi wa nchi au Kiongozi wa nchiπππHata avatar zao mfano hii yako hapa
View attachment 894566
Mtoto atakuwa katili sana huyo akiwa mkubwa. hahahahaha
Alhamdulillah wote wako salama namshukuru manani kwa hilo.Nami pia jamaani. Mie Alhamdulillah. Sijui weye na wanaokuzunguka?