Signature za hawa wanaJF zina ujumbe mzito sana

Asante mkuu NAHUJA ngoja nikupe kisa kdgo kilichonifanya nije na hio signature.. miaka kadhaa iliyopita kipindi nipo chuo kuna binti alikuwa akimzengua sana best yangu kila alipoombwa utam in peacefully way alikuwa akigoma, yani hata akija getho mshkaji hakufanikiwa kupewa utam. Ikafika kipindi Jamaa akagive up kabisa akaamua awe mpenzi mtazamaji. Siku moja wanatoka discussion mida ya saa nne usiku Jamaa akamchombeza demu kimasihala tu kwenye kichaka hali ya hewa inaruhusu, wapo wawili, na kagiza kale basi mshkaji akatunukiwa unexpectedly pale pale.. mpaka leo best yangu lile tukio lipo akilin mwake na akiwa na fumbo kubwa kuhusu wanawake.
 
duu! aisee!
 
WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.

Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:

Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone

Nawapenda wanajf wote!!!
Ha ha ha ha haaaaaaaa
Mkuu inaonekana ulikuwa na ka utafiti ka chini kwa chini juu ya signature za wana JF😀😀
 
Hata avatar zao mfano hii yako hapa
1539259764949.png

Mtoto atakuwa katili sana huyo akiwa mkubwa. hahahahaha
 
Back
Top Bottom