WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.
Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:
Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone
Nawapenda wanajf wote!!!
[emoji15][emoji848][emoji1562][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yangu he haina ujumbe mzito?
Tafakari na Ongezea hiiWanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.
Hapo sasa..Sema hakyamama... na hao wapenzi wao wanakuwa wanaJF pia?
MashaallahUkiitafakari kwa undani hasa ni kweli tupu Mkuu.
"Kila penye uzito na wepesi upo"
View attachment 894569
Iko na ujumbe mzito sana hii mkuuYangu he haina ujumbe mzito?
[emoji15][emoji848][emoji1562][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafadhari ongezea na hii..Tafakari na Ongezea hii
- "I may not agree with what you say, but I will defend to the death your right to say it! " (By Maxence Melo )
ha ha h ah haaaaaaaaaaaHahaaa. Natumai muda ushasogea sasa huko uliko unapambana na milio ya ndege mwitu.
Morning MkuuHahaaa. Natumai muda ushasogea sasa huko uliko unapambana na milio ya ndege mwitu.
Hahahaaa. Ahsante Mkuu.ha ha h ah haaaaaaaaaaa
naifurahia sana milio hii especialy jioni nkishatoka kwenye jiji la watu, karibu sana Mkuu nawe ufurahie kusikia milio hii, naimani hutotamani kuondoka huku kijijini kwetu.
Karibu sana MkuuHahahaaa. Ahsante Mkuu.
Huku Alhamdulillah. Amiin Insha Allah na kwako pia. Wasalimie hukoMorning Mkuu
Kwema huko kwako? ALhamdulillah kwangu kwema kabisaa namshukuru Allah.
Nikutakie Aljumaa maqboor na kazi njema pia
Heb soma yangu[emoji15][emoji848][emoji1562][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesahau!Heb soma yangu
Usiku mwemaNimesahau!
WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.
Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:
Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone
@NAHUJA FURAHIA MWISHO, USIFURAHIE MWANZO
Nawapenda wanajf wote!!!
Utafika mbinguniTafadhari ongezea na hii..
- "Binaadamu wa kweli ni yule anayesikia maumivu ya Wenzake"
-Da'Vinci..
Inatuasa watu kua na upendo na kujaliana hasa wenzetu wanapokua na matatatizo,shida.