Signature za hawa wanaJF zina ujumbe mzito sana

Now or never....kuna moja pia ni nzuri sana niliikopi kwa neba my brother inasema WAKATI SI MILELE
WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.

Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:

Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone

Nawapenda wanajf wote!!!
 
[emoji15][emoji848][emoji1562][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafakari na Ongezea hii
  • "I may not agree with what you say, but I will defend to the death your right to say it! " (By Maxence Melo )
Tafadhari ongezea na hii..
  • "Binaadamu wa kweli ni yule anayesikia maumivu ya Wenzake"
    -Da'Vinci..

Inatuasa watu kua na upendo na kujaliana hasa wenzetu wanapokua na matatatizo,shida.
 
Hahaaa. Natumai muda ushasogea sasa huko uliko unapambana na milio ya ndege mwitu.
ha ha h ah haaaaaaaaaaa
naifurahia sana milio hii especialy jioni nkishatoka kwenye jiji la watu, karibu sana Mkuu nawe ufurahie kusikia milio hii, naimani hutotamani kuondoka huku kijijini kwetu.
 
WanaJF huwa nikisoma signature za hawa wanajf nazitafakari kwa makini na kuona zina ujumbe mzito na maridhawa.

Hizi ni baadhi ya Signature zinazonikuna roho yangu pamoja na majina ya "wamiliki" wake:

Kajolijo = Nitapima siku dawa yake ikipatikana
Asprin = Shimo la Panya halizibwi kwa mkate
wa kupuliza = Talaka ya malaya ni makofi
soul provider = Akili ya mwanamke inategemea na siku alivyoamka
Bramo = Ni bora simba wakali mia moja walioko nje kuliko nyoka mdogo mmoja aliye ndani
Mshana Jr = Now or Never
Nas Jr = Bichwa lisilo na Akili ni adhabu kwa MiGuu
baba swalehe = Usisahau vya kusahau kabla kusahau hakujakusahau wewe uliyesahau
Mpekuzi17 = The beautiful one is not yet bone
@NAHUJA FURAHIA MWISHO, USIFURAHIE MWANZO

Nawapenda wanajf wote!!!

We Love you too
 
Tafadhari ongezea na hii..
  • "Binaadamu wa kweli ni yule anayesikia maumivu ya Wenzake"
    -Da'Vinci..

Inatuasa watu kua na upendo na kujaliana hasa wenzetu wanapokua na matatatizo,shida.
Utafika mbinguni
 
Back
Top Bottom