GE2025 Sigrada Mligo: Mbunge unatakiwa wakati wote iwe usiku au mchana uwe tayari kuwasikiliza wananchi wako

GE2025 Sigrada Mligo: Mbunge unatakiwa wakati wote iwe usiku au mchana uwe tayari kuwasikiliza wananchi wako

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mtiania nafasi ya ubunge Jimbo la Njombe kupitia CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema uwakilishi wa wananchi ni ule wa kusikiliza na kubeba shida za wananchi wakati wote na kuzifanyia kazi.

"Lakini kibaya zaidi kuna wabunge ambao badala ya kuwawakilisha wananchi wametumia kama tiketi ya kujinufaisha na kujitenga na wananchi.

"Eti mbunge ambaye ni mwakilishi, ili mwananchi amfikie kumpelekea hoja zake ni mpaka apitie watu zaidi ya saba ndio amfikie, ni wakati sasa wa kuwakataa wabunge wa namna hii."

"Kawaida, mbunge unatakiwa wakati wote iwe usiku au mchana uwe tayari kuwasikiliza wananchi wako na kuhakikisha shida zao zimetatuliwa na si vinginevyo," amesema Sigrada.
Screenshot 2025-08-18 172821.png
 
Back
Top Bottom