Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo amesema haungani na hoja ya kufanya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea Oktoba 29 wakati akieleza kuwa serikali ilipaswa kusikiliza maoni ya Watanzania.
Sigrada amesema kuwa yeye ni muumini wa kuzuia tukio na siyo kufanya maridhiano baada ya tukio kwani tukio la Oktoba 29 lilikuwa likizungumzwa mtandaoni, hivyo serikali haikutakiwa kupuuza yale yaliyozungumzwa katika mitandao ya kijamii.
"Serikali ingechukua malalamiko ya wananchi, haya mauaji na vifo visivyo vya lazima visingetokea, tukiwa taifa tunalosubiri yatokee ndio tuanze vikao wakati watu wameshapoteza maisha, ndugu zao na mali zao haisaidii kitu ", amesema Sigrada.