Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo akitoa hoja Bungeni, wakati wa uwasilishwaji wa bajeti ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, leo Juni 1, 2026.
Soma Pia: Sigrada Mligo: Siungi hoja ya kufanya maridhiano baada ya matukio yaliyotokea Oktoba 29
Tuna vijana wengi mheshimiwa mwenyekiti ambao wako mtaani ambao tusipokaa vizuri yale maandamano ya tarehe 29 mwezi wa 10 yatakuja kuwa mara 800. Hapa si tunataka kupongezana. Si tunataka kupongezana hatutaki kwenda kwenye uhalisia huko groundi. Yale maandamano Usipoweka msingi mzuri maandamano yale yatarudia."