Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo wakati akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 5, 2026, na Nijuze, amesema hawezi kurudi CHADEMA kutokana na sentensi iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho kuwa anaiua CHADEMA
"Kutamani kurudi nitakuwa muongo. Sitamani kurudi kwa sababu mimi nimeshakuwa labeled kwamba naiua. Sasa ukirudi kule maanake hakuna atakayekuona wewe ni mtu sahihi kwa sababu aliyeyazungumza ni mtu mkubwa, wangezungumza wanachama wa kawaida kwamba mimi naiua CHADEMA, wala nisingeshtuka kwa sababu huku chini mambo yanaongelewa mengi wala hatujali."