Maandamano yamefeli mnatafuta vijisababuMimi bado naamini wanaochochea hisia za watu kuandamana wapo kwenye mfumo na wanafanya hivyo makusudi ili kujipata pesa kilaini isiyo na Querry kwa Mkaguzi wa hesabu za Serikali.
Vijana wengine nao kama nyumbu wanatumika kuwasaidia watu kula pesa bila kujua.
Kuna Mapolisi wanatamani kumshkuru alietangaza maandamano ya Mchongo maana hizi posho zitapush ada za shule sana.Maandamano yamefeli mnatafuta vijisababu