sihitaji kuolewa je ni tatizo?

Status
Not open for further replies.

Itabidi tukutane tupange mipango ya kutofunga noa wala kufanya harusi. Mipango rahisi sana, haihitaji kushirikisha wazazi wala kuchangisha watu ambao wana madeni kibao tayari.
 
Tu quoque
 
ilo ni tatizo dada angu,tena kubwa 2,sema nnachokushauri fikiri kwa makini na endapo atajitokeza m2 mwenye nia na ww bac take him
 
Naona tusimlaumu tu huyu ndugu yetu, hamjua ukweli uliopo moyoni mwake, ndio maana kitanda usichokilalia huwezi kujua kunguni wake.

Kwani kuolewa ni lazima? mwachine tu huyu dada kama ameamua hivyo, bora awe single kuliko kuteswa na kunyanyaswa.

Pia dada kama umepanga hivyo, najua huna mtoto, nachokushauri fanya jambo la maana hapa duniani mfano kuwa hata na kituo cha watoto yatima angalau itakusaidia kisaikolojia ufeel ukaribu na watoto.
 
kwahiyo kama sina ndoa na kizazi pia sina? Kuzaa dumuhimu

kama kweli unamuamini Mungu kama unavyodai, nadhani si kweli, ungekuwa umejifunga na sheria zake, nadhani unajua anasema nini kuhusu uzinzi,
kuna mtu hapo mwanzo kakuambia kuhusu mungu na MUNGU. Tafakati upya.
Huo ni uselfishness au ni huzuni ya kukosa unachotamani, bila kutakutafakari mchango wako katika kuharibu. . Hapa nadhan una kazi nzuri, na heshima na kujitoa kwa kazi ya Mungu, kwa unyenyekevu itakuwa ngumu
Lengo la Ndoa si starehe, ni kutimiza kazi ya Mungu, na starehe yake inatokana na utii wako kwa Mungu, otherwise ni mapito tu. Na adhabu ya roho yako.
 
haya bwana! Hayo ni mawazo yako, na ushauri wako, akili za us"hauri changanya na zakwako.
 
ilo ni tatizo dada angu,tena kubwa 2,sema nnachokushauri fikiri kwa makini na endapo atajitokeza m2 mwenye nia na ww bac take him

kuolewa sio fasheni kuolewa ni moyo wa mtu, kama mnachukulia ndoa ni fasheni kimpango wak0
 
kuolewa sio fasheni kuolewa ni moyo wa mtu, kama mnachukulia ndoa ni fasheni kimpango wak0

ndoa sio fasheni, tatizo mmeiweka kama ndo sehemu ya kuchumia au kuonekana kwamba na we upo. By ze way unasema hutaki kuolewa kwa nn uanze kuiba waume na kuyumbisha ndoa za wenzio? Unafahamu shida za single parenting? Kuna wakati utakuja juta kuwa kuna umuhimu wa kuwa na baba watoto ndani ya nyumba. Nyie ndo kila siku mnapiga kelele wanaume wasiwe na wake wengi!!..
 
kama shida ni mwanaume ndani ya nyumba nitamuweka mlinzi mwanaume,
halafu wanaume za watu ndio wapi hao?
Na wanaibiwaje?
 


hongera kwa kuendelea kutumiwa nje ya ndoa,,,,,,,
 
kama shida ni mwanaume ndani ya nyumba nitamuweka mlinzi mwanaume,
halafu wanaume za watu ndio wapi hao?
Na wanaibiwaje?

mtoa mada umemuelewa ila unajifanya kumpotezea,,,,,,,mlinzi ana nafas yake na mume ana nafas yake,,,,,,,,je umezaa na mlinzi
 

afadhali umwambie,,,maana anamtaja mungu na anamkosoa na kumuudhi pamoja na kumghasi
 
Serikali ya mtu ni mawazo yake mwenyewe,binafsi sioni tatizo na maamuzi yako as long as uko na furaha move on!
Watu wanashangaa kwani huyu ndo wa kwanza?mbona mtaani watu wa namna hii wapo tele?
 
Dont force it.if u want to remain single for da rest of ur life.JUST BE URSELF,SINGLE LADY.

miafrika ndivyo tulivyo,umekosa jina lingie hadi ukaona uumie jina la huyu dada bora ungetumia la wadada wa nch za kimangaribi.sifa za kijinga na kuaribiana
 
miafrika ndivyo tulivyo,umekosa jina lingie hadi ukaona uumie jina la huyu dada bora ungetumia la wadada wa nch za kimangaribi.sifa za kijinga na kuaribiana
Tuliza moto wewe kwani Jokate yuko peke yake na una uhakika gani kuwa siyo yule unayemjua wewe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…