Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
hahaahaähaaaa! Yaani raha kweli katika watu walionifurahisha leo kwakweli wewe aah u make my day!
Kumbe hupendi kuoa lakini hutaki kuandika nasiku ukisema tujue ndio unataka kuoa haahaahaaaah nimejikuta naangua bonge la kicheko mpaka nimeamsha majirani kweli jf ? Itatufanya
machizi.
Itabidi nikuote maana tumekutana asiyependa kuoa na asiyependa kuolewa dahai
Itabidi tukutane tupange mipango ya kutofunga noa wala kufanya harusi. Mipango rahisi sana, haihitaji kushirikisha wazazi wala kuchangisha watu ambao wana madeni kibao tayari.