The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
nawale wanaotoa mimba za kila siku kisa hawajafunga ndoa ndio mnaowafagilia?
Hala fu siku wakifunga ndoa mnaenda kuselebuka na kuwapongeza. Pelekeni huko!
aliyesema huyo mtoto hatamjua baba yake nani? Baba yake yupo naanamtunza tokea tumboni na anampenda na anamtamani rpana
kama shida ni mwanaume ndani ya nyumba nitamuweka mlinzi mwanaume,
halafu wanaume za watu ndio wapi hao?
Na wanaibiwaje?
huko nyuma nilitamani sana kuolewa nanilikuwa namlilia mungu sana anijalie nipate mume bora hiyo ndio ilikua dua yangu kubwa kwa mungu
imekua bahati mbaya sijaolewa wala kuchumbiwa na mwanaume yeyote nimeishia kurubuniwa na kutapekliwa
Sipendi kuolewa na sivutiwi na kuolewa wala ndoa sihitag!
ilianza single hii:
ikaja part ii:
ikaja final version:
najaribu kuunganisha dots hapo lakini haziungani......
wewe ndio uliebeba laana na kizazi chako na mbegu chafu ulizobeba, nani atake mbegu kwa mpuuzi ka wewe? ÙmesHuyu ni PSYCHO per se! Ukifuatilia thread nzima, huyu ni mwehu tena naogopa asijetamani mbegu zangu mie, maana kakijana kangu ka-handsome kama point fulani kamerithi kwa bibi yake lisijetamani mbegu zangu bure. Tena ulaaniwe, upate kiumbe usichokitararji mtoka pabaya mkubwa mwizi wa waume za watu. Unadhani wanaume wakukujaza huo mtumbo wako wanatoka wapi? Wewe ni psycho, very dangerous! Na kama unafanya hospital as you said utakuwa umetoroka ward ya wehu wenzio! Kwa attitude hiyo hata uzao wako hautakuwa na baraka, unatujazia dunia kwa vitoto haramu kisa eti wewe umependa! Its better baba akatae ujauzito lakini sio style yako, yani umejifungia bahati zote. Unaonekana una majini yako ndo yanakufanya hivyo, jini mahaba tena litakukomoa! Natamani ningekufahamu nione na hicho kitoto chako nimpe precautions mwanangu asije kujiingiza kwenye hiyo laana! Wacha kama napigwa ban nipigwe tu ila wewe ni psycho!
nimetimiza miaka 30 sasa, huko nyuma nilitamani sana kuolewa nanilikuwa namlilia mungu sana anijalie nipate mume bora hiyo ndio ilikua
dua yangu kubwa kwa mungu, imekua bahati mbaya sijaolewa wala kuchumbiwa na mwanaume yeyote nimeishia kurubuniwa na kutapekliwa, nilitamani sana niwe na mume wangjt nimthani na kumjali ila baha ti ni mbaya sijabahatika.
Any way 4 sasa nimekua mtu mzima nimepata akili nimepitia mengi na nimejifunza mengi nanimetafakas4ri kwa kina n.ifmegundua sio kila unalolipanga kwenye maisha yako lazima ulipate hata ukimwomba mungu mengine inabidi usacrifise, japo utavumilia masengenyo kutoka kwenye jamii na mitazamo hasi kwa ndugu hata wazazi.
Leo hii nimekua mtu mzima sitamani kuolewa tena wala sivutiwi na ndoa yoyote hata mwanaume wa kuishi em3.
Napenda kuwa na watoto wawili nakupambana na däisha bila kujali baba yao atakua nani..
Nayafurahia maisha yangu na maamuzi yangu kuliko zamani nilivyokua nahitaji kuolewa najiona nimeshakua
mama nanina familia isiyokua na baba ninafuraha sana naninamshukuru mungu kila kukicha.
Sipendi kuolewa na sivutiwi na kuolewa wala ndoa sihitag!
hivi ni ndoa ngapi zinavunjika kila siku hasa hizi za dgni yetu? Rafiki yangu alifunga ndoa ndani ya mwaka kapewa talaka akiwa na mimba ya miezi 7 , hiyo ndoa ilimsaidia nini sanasana imemchafulia jina,
nina mifano kibao ya ndoa ambazo bora zisingefungwa sasana wana mkosea mungu,
kwahiyo nisizae kisa na saka ndoa, ndivyo wasichana wengi wanajidanganya hawataki kuzaa umri wakuzaa unawapita matokeo wanakuja kuchanganyikiwa wakîwa kwenye 4o, kama ndoa umepangiwa utaifunga tuu hatakama una watoto 7,
wewe ndio unasema umesomea sicological cansel?
Hakuna kitu hapo, umekariri maisha wewe.
wewe ndio uliebeba laana na kizazi chako na mbegu chafu ulizobeba, nani atake mbegu kwa mpuuzi ka wewe? Ùmes
ikia nashida na mbegu chafu, kwataarifa yako sitafuti mbegu mimi kamani mwanaume ninae nakitu ambacho sikihitaji ni hiyo ndoa zamani ndio nilionda ndoa ni dili ila kwasasa sio dili kwangu.
Eti nitake mbegu kwako ninalaana kwa uzazi wenyewe huna wewe,
nakama unao basi jua niwalaaniwa kaa baba yao. Msschfuuuuu!
Wewe ndio unaekaririr maisha kwa kuona wenzako wameolewa na kuachika kwa hiyo unahisi na wewe ukiolewa utaachika kama wao embu acha mawazo mgando bwana
There you are PSYCHO! Yani nilikuchokoza makusudi nipate picha ya vile ulivyo, kwa u-psycho huo ulioonyesha hapo sijui mwanaume gani atakaekaa na wewe! Mbegu hupati, eti nataka kuzaa niitwe mama, kuzaa utazaa na mbwa? Nakuuliza we kituko utazaa na mbwa au punda? Si utazaa na mwanaume? Tena mwanaume wa mwanamke mwenzio? We unamatatizo, unajifanya hupendi wanaume ila mbegu zao wazitaka! Wewe ni psycho, go and consult a specialist. Kwanza unaonekana ni Asha Ngedere wacha wanaume wakutende na lazima watasepa tu kwa style hiyo! Chukua time kule.