sijakata tamaa kama unavyofikiria wewe, nimetafakari then nikachukua hatua, kuna wimbi linalo wasumbua
wasichana wengi kwakua hajaolewa hawezi kusonga mbele kimaisha kama vile kuzaa, kujenga, nk.
Wanasubiri waje waolewe matokeo yake unakuta mtu kafikisha miaka 38 hajaolewa na matatizo yameshaanza kwenye mfumo wa uzazi
mimi nafanya kazi hosp naona jinsi wadada wenye umri kuanzia 34yrs wanasumbuliwa na mauvimbe kwenye vizazi na
hawajawahi kuzaa wala kubeba mimba kisa hawajaolewa bado, kingine kilicho nihamasisha ni dada
mmoja ana 37 anaishi kwao yaani hajawahi kutoka kwa wazazi wake nani bikra kajakutolewa uvimbe kwenye
kizazid dokta akamwambia abebe mimba fasta maana mwisho wake ni kizazi kutolewa ilikua ni mwaka jana mwaka huu kaja tena uvimbe umekua inabidi atolewe mwishoe kizazi kitatolewa, anadai hajapata wa0kumuoa ndio azae maana amejitunza akitegemea kuolewa sasa umri huo kuza bila baba aibu.
Binafsi nilishajipanga nikifikisha 30yrs sina haja ya kuolewa tena nazaa nahatimae malengo yangu
yametiamia am very happy. Wadada wanaoona kuolewa dili waendelee kusubiri hizo ndoa uchwara za siku hizi. 4
Nimekupata mdada kumbe unafanya hedging against worst case scenario.....basi kwanini usiweke option zote wazi....yaani wakati unatafuta hao watoto, jaribu kuwa positive na utafute na mtu ambae anaweza kukuwowa.....pia mdada haya mambo ya kuolewa yanataka initiatives kidogo....zama hizi sio za kusubiri tu muoaji/muolewaji atokee inabidii kumuandaa kwa kutengeneza mazingira......yaani unakuwa wife material hivi......na kama umemuona ambae unatamani awe baba wa wanao fanya jitihada za ku-display malovee ya maana ambayo ni endelevu......I know brothers kibao mtaani wanahaha kupata jiko.....hata huyo utakaezaa nae jitahaidi awe na mwelekeo mbele ya safari upweke ukiwazidi muwowane usifanye masihara single parent all life.....
Pia inamaana utazaa mtoto wa kwanza na T, wapili na S....bado wabahati mbaya na R....hiyo itakuwa promiscous......
Anzisha 'PROJECT SAKA HUSBAND' uone kama matokeo hayajajipa.....
Yawezekani unakwama kwasababu utafuta perfect man ambae kimsingi hayupo hao unaowaona wakovizuri kwa nje na ndoa zao...humo ndani kuna full purukushani mapungufu kibao isipokuwa wanavumiliana na kushepiana na kusonga baada ya muda wanakuwa sambamba so usichague sana......maana hamna anaeweza kuumba wa kwake...