Sii kitimoto tena bali ni noah!!

Sii kitimoto tena bali ni noah!!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Siku hizi nguruwe anaitwa NOAH!jee wenye magari ya aina hiyo ya NOAH wanajisikiajee?haswa ndugu zangu waislam
 
Hii kitu nohar ni kwi kwi hata mashehe wanapenda hikitu sembuse waumini....
 
kwani kuitwa noah kuna tatizo gani? Noah hiyo yanisafirisha kwenda kula noahmoto spesheli.
 
Nilienda Lushoto-Tanga na Kahama-Shinyanga nikakuta ndio usafiri wao mkubwa, sasa kama yanaitwa kitimoto basi kuna uwezekano hata nauli zikawa juu unapopanda Noah.....
 
Back
Top Bottom