Private don
Member
- Sep 16, 2017
- 16
- 39
- Thread starter
- #41
[emoji3] [emoji1] [emoji2]Hata amsha amsha za kufuga kware,samaki na mafuta ya ubuyu nazo zimepoa[emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji1] [emoji2]Hata amsha amsha za kufuga kware,samaki na mafuta ya ubuyu nazo zimepoa[emoji23][emoji23]
Sasa humu unafanya nini?Sio kama tumeliwa Yaani hii forex imetuweka busy saana maana unatakiwa uangalie mambo mengi saana, mkuu hakuna Pesa nyepesi.
Tunapata Pesa saana na forex mkuu
Mie nilikua na magroup mengi ya whàtsp lakini sasa hivi sishiriki tenaa. Niko busy na forex kama unaweza pata $60 kwa muda Fulani kwa siku kwa nini niangaike kwenye mitandao ya kijamii bila faida?
Lazima tubadilike hatuji huku tuko busy kutrade mkuu
Ni noma sana jukwaa la biashara limepoa kiujumlaHata amsha amsha za kufuga kware,samaki na mafuta ya ubuyu nazo zimepoa[emoji23][emoji23]
Uchochezi huoukiona manyoya ujue tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa kajilia pesa yake kiulainiii....mazuzu yanapambana na hali zao
Mkuu mwenyewe nimekuwa bize zaidi ya advance. Hata mpaka wife analalamika simkamui vizuri mana energy Zote zimeenda kwa forexUnachokiona ni matokeo ya vijana kupata kitu cha kuwaweka busy.
Laiti kama hata uncle Magu angejua kuwa FX inauwezo mkubwa kiasi hiki wa kunyamazisha watu angeitumia
Ni kwamba tafuta wale watu walio idaka fursa ya Forex mapema kwenye zile nyuzi, linganisha u active wao hapa JF before and after ndo utajua nachosema.
People are busy milking the market, busy doing analysis, busy doing discussion,busy chasing pips.
Wengi wao hata ma group ya whatsap mengine wamepotea.
Ndio ,aliesema Fx ni hela nyepesi nae pia alidanganya, ila FX ina pesa ndefu
Anajua kuwa atakuwa masikini mwenzakepoverty mentality:
mtu fukara alifurahi sana siku aliposikia kuwa ICD ya mzee bakhresa ilihusika katika upotevu wa makontena bandarini.
pia alifurahi sana aliposikia taarifa kuwa serikali itamnyang'anya mohamed dewji mashamba ya mkonge aliyouziwa na serikali miaka kadhaa iliyopita.
Vipi kwa aliyefundishwa na akasimama mwenyewe yeye na broker wake,inamaana huyu hatapata faida ikiwa amepata uelewa wa biashara na akajisimamia?aliyefaidika sana na Forex trade ni Ontario tu na timu yake.. na faida kaipata kwenye training fees na commission ya broker wa forex.. hii ya commission ameipata indirect kwa akili nyingi sana hakuna mwanafunzi wake hata mmoja anaeweza kujua
Well said mkuuHakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kusubiri anguko la fulani ambaye hana impact yoyote ile kwenye maisha yako. Sio dalili nzuri kabisa.
Siioni amshaamsha.....Hakuna sehemu nimemwombea na kufurahia MTU kushindwaa!!! Pitia kwenye post yangu upya nazani utaelewa nachokieleza!!!!