Siioni Azam FC iliyo Imara kuifunga Yanga SC iliyokamilika hata kama Tuisila Kisinda hatocheza

Siioni Azam FC iliyo Imara kuifunga Yanga SC iliyokamilika hata kama Tuisila Kisinda hatocheza

Screenshot_20220905-215613.jpg
 
Kuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo.

Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya Binadamu.

Imeisha hiyo......!!!!!!!
Azam sio mdebwedo kama simba
 
Kuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo.

Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya Binadamu.

Imeisha hiyo.
Kabisa, mwenyewe natamani Azam ashinde lakini siioni Azam yakuishinda uto!!

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbona ule uzi kule wa Tuisila kukimbiza kuku na kushiriki ndondo hamjamjibu jamani hta mmojaa hahaha mnapenda sifa mkisikia mnasifiwa mbioo kugonga like. Hahahahhaahah
 
Back
Top Bottom