MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Azam sio mdebwedo kama simbaKuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo.
Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya Binadamu.
Imeisha hiyo......!!!!!!!
Kabisa, mwenyewe natamani Azam ashinde lakini siioni Azam yakuishinda uto!!Kuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo.
Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya Binadamu.
Imeisha hiyo.
Tell herAzam hii sio ile unayoijua wewe
This time mtaelewaAzam hawanaga bahati nafikiri
Umeshachungulia?
Ndiyo mkuu ndugu zetu leo wanaumizwa.Umeshachungulia?
Mjumbe wa kamati kuu akitafakari jambo🤔.Halafu ndugu mjumbe ni mwana 🦁 lunyasi fc a.k.a mikia fc 🤣🤣
Ngoja tusubili bahati nzuri yanga hii ukiwabip wanakupigia awanaga mbambamba
Ha haaaaaaa hahahaha haaaaaaa.
DahMjumbe wa kamati kuu akitafakari jambo[emoji848].Halafu ndugu mjumbe ni mwana [emoji881] lunyasi fc a.k.a mikia fc [emoji1787][emoji1787]