Yeyote,ila simba hatutoboi.Useme ni nani ambaye unamuona ni bora kuliko simba. Sio unaacha tu hoja hewani
Jipe muda utakuja kulalamika badae mzee wewe zile 2 na river una goli ngapi tena mechi muhimuMechi 2 mfululizo hakuna goli hata moja. Kikosi kipana na mambo mambo ya kusaini mikataba ha ha ha
Simba ya Mwaka huu kama striker wenu ni mugalu imekula kwenu ha ha
Yeyote,ila simba hatutoboi.
Tumeuza wachezaji wazuri bila kufanya replacement ya maana,Wewe umeona mbali . Kikosi hiki kinahitaji msimu mzima kusomana
Bado sana sanaaa
Amini nikuambiayo , hizi mechi mbili ni ishara kuwa mtafeli Mwaka huu
Oktoba Sio mbali . Hamna anaeweza kufunga. Bali kuna watu wanakimbia kimbia tu
Tabu iko palepale
Tumeuza wachezaji wazuri bila kufanya replacement ya maana,
Wewe wasema kila mwaka mkishasema mwisho wetu sijui wapi ila ukweli utaja umbuka baadae. [emoji23][emoji23][emoji23] au hujui kibonde mlikamia saana leo ndio maanaTabu iko pale pale . Wenye akili wameelewa kuwa simba ya Mwaka huu , mwisho wenu ni BOTSWANA
Kabla.simba haijatimua kocha mtatimuana utoTabu IKO PALE PALE
MARK MY WORD
MTATIMUA KOCHA MANAA HAKUNA NAMNA
Simba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off