Siioni Simba SC Kwenye Robo Fainali CAF

Siioni Simba SC Kwenye Robo Fainali CAF

Mechi 2 mfululizo hakuna goli hata moja. Kikosi kipana na mambo mambo ya kusaini mikataba ha ha ha

Simba ya Mwaka huu kama striker wenu ni mugalu imekula kwenu ha ha
Jipe muda utakuja kulalamika badae mzee wewe zile 2 na river una goli ngapi tena mechi muhimu
 
Yeyote,ila simba hatutoboi.

Wewe umeona mbali . Kikosi hiki kinahitaji msimu mzima kusomana

Bado sana sanaaa

Amini nikuambiayo , hizi mechi mbili ni ishara kuwa mtafeli Mwaka huu

Oktoba Sio mbali . Hamna anaeweza kufunga. Bali kuna watu wanakimbia kimbia tu

Tabu iko palepale
 
Jipe muda utakuja kulalamika badae mzee wewe zile 2 na river una goli ngapi tena mechi muhimu

Tabu iko pale pale . Wenye akili wameelewa kuwa simba ya Mwaka huu , mwisho wenu ni BOTSWANA
 
Wewe umeona mbali . Kikosi hiki kinahitaji msimu mzima kusomana

Bado sana sanaaa

Amini nikuambiayo , hizi mechi mbili ni ishara kuwa mtafeli Mwaka huu

Oktoba Sio mbali . Hamna anaeweza kufunga. Bali kuna watu wanakimbia kimbia tu

Tabu iko palepale
Tumeuza wachezaji wazuri bila kufanya replacement ya maana,
 
Kanoute [emoji1666]
Banda [emoji35]
Sakho[emoji35]
Bocco[emoji35]
Mugalu[emoji35][emoji35][emoji35]

Bwalya [emoji35]
 
Tumeuza wachezaji wazuri bila kufanya replacement ya maana,

Kwa sababu Simba ilikuwa bado haijapata mafanikio, ilitakiwa Kufanya retention ya key players huku slowly wakiwatafutia replacement.

Kinachotokea simba Sasa hivi ndiyo kilichoikuta AS VITA msimu uliopita

Players kuwa Na Chemistry takes time . Halaf wachezaji wapya hawana spirit iliyozoeleka
 
Tabu iko pale pale . Wenye akili wameelewa kuwa simba ya Mwaka huu , mwisho wenu ni BOTSWANA
Wewe wasema kila mwaka mkishasema mwisho wetu sijui wapi ila ukweli utaja umbuka baadae. [emoji23][emoji23][emoji23] au hujui kibonde mlikamia saana leo ndio maana
 
Tabu IKO PALE PALE

MARK MY WORD

MTATIMUA KOCHA MANAA HAKUNA NAMNA
 
Always nyie mnamiliki mpira 53% kwa 47 , lakini Yanga ndiyo wameshinda
Wenye akili tumeona HAKUNA MFUNGAJI SIMBA

TABU IKO PALE PALE , toka lini muhindi akawa na akili
 
Simba walikosea sn kuwauza wale game changers wawili.Hawa wachezaji wa sasa ni watu wa show off

Tabu ipo pale pale .huu ni mfululizo

Tegemeeni balaa lingine mwezi oktoba . Tumeshawaambia hamtoboi. Kikosi cha spirit kilishakufa

Endeleeni kuwa Busy na mikataba ya ATCL na Vunjabei

Mtajua kuwa hamjui
 
Back
Top Bottom