Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama ilivyo bara natamani sana kuona Zanzibar na wenyewe wangekuwa wanaenda kuchagua Rais mwanamke.
Huku bara sisi tuko open minded sana kuliko Zanzibar.
Siioni Zanzibar mwanamke kupata Urais kwa miaka 100 ijayo