nzuri sanaZa siku nyingi bwana Rutta? Eti kuna LD mwingine humu?? Atakuwa kaiba password yangu, hebu nioneshe alipo tafadhali......ila chit inaniondolea afya yangu ya JF.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ndo majanga haya......chit chat inaharibu afya yangu ya JF
Haha.. LD hapendi CC wakati wenzaio tumeitumia vema kujitwalia vimwana humu... Passion Lady tunaenda lini kuleeee.... ?
Si upate tu kiishe....pata ban upumzike.....by the way habari ako bana
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
habari yangu kaitafutie chooni
Duh! Maumivu yakizidi mwone Lady doctor
hapana labda amuone MziziMkavu maana hii imekaa kienyeji zaidi
Bibi.@LD njoo kwenye jukwaa langu langu la JF Doctor nikutibu una matatizo ya stress wewe. Bibie Lady doctor Mlete huku kwenye jukwaa la JF.Doctor nimpate kumtibu huyu bibie LD nije nimpe asali na kitunguu saumu apone maradhi yake.hapana labda amuone MziziMkavu maana hii imekaa kienyeji zaidi
Hujambo? Mia
Bibi.@LD njoo kwenye jukwaa langu langu la JF Doctor nikutibu una matatizo ya stress wewe. Bibie Lady doctor Mlete huku kwenye jukwaa la JF.Doctor nimpate kumtibu huyu bibie LD nije nimpe asali na kitunguu saumu apone maradhi yake.
Hahahahaaaa......!!. Habari za kuadimika LD? Lady doctor alipo jiunga nikajua ni wewe umebadili id.
Hivi chit chat ikifutwa si utapoteza ahamu?. sema hawa madogo walio wengi hawajui kama wewe ndo mwasisi wa chit chat. Ulitakiwa uje ba akina Lizzy, WiseLady, FirstLady, Preta, Washawasha, Husninyo, Dena Amsi, Kaka Kiiza na kampani yako yote. Mnapotea hadi wageni hawawajui?. Muwe mnakuja kusalimia. Hapa Passion Lady, Arabela, na akina Slave wanashangaa huyu mrembo wa wapi. Inabidi angarau hata kwa wiki uwe unakuja chit chat mara moja kama vivian. mia
MziziMkavu hakuna dawa ambayo nikimnuizia LD niweze mpata bila ngonjera nyingi ?Bibi.@LD njoo kwenye jukwaa langu langu la JF Doctor nikutibu una matatizo ya stress wewe. Bibie Lady doctor Mlete huku kwenye jukwaa la JF.Doctor nimpate kumtibu huyu bibie LD nije nimpe asali na kitunguu saumu apone maradhi yake.
Bibie Lady doctor Tindikali ipi tena ile wanayotiwa watu usoni?haina haja ya escort atakuja mwenyewe,,,,,, usisahau kumpa na mafuta ya ubuyu japokuwa yana tindikali ndani yake ila yatamfaa
Bibie Lady doctor Tindikali ipi tena ile wanayotiwa watu usoni?
hivi figganigga unaweza kunipa mawasiliano ya huyu mrembo LD ?
Bibie Lady doctor Serikali inapiga vita wasinywe mafuta ya ubuy kwa sababu wakinywa mafuta ya ubuy ni nani atanunuwa vidonge?amkeni jamani vidonge kwenye maduka ya madawa vita Expire musipo nunuwa ndio maana Seriakli inasema mafuta ya ubuyu yana tindikali. Hiyo ni mbinu za biashara jamani. Hahahahahah joke......................hahahaaa............ MziziMkavu ni tindikali aina ya cyclopropenoic fatty acids
Bibie Lady doctor Serikali inapiga vita wasinywe mafuta ya ubuy kwa sababu wakinywa mafuta ya ubuy ni nani atanunuwa vidonge?amkeni jamani vidonge kwenye maduka ya madawa vita Expire musipo nunuwa ndio maana Seriakli inasema mafuta ya ubuyu yana tindikali. Hiyo ni mbinu za biashara jamani. Hahahahahah joke......................