Siipendi fani ninayosoma...... Ni kwa sababu ya umasikini wangu.....!

Siipendi fani ninayosoma...... Ni kwa sababu ya umasikini wangu.....!

...kaka ni kwel usemalo, hata mm wakat naaply chuo niliambiwa ucpoweka ualim first selection hupat mkopo, dah kwa shingo upande nikajaza ualim as first selection, wildlife as 2nd selection na 3rd selection ikawa animal science....nikachaguliwa ya 3 kwa bahat nzuri! Ila tabia ya kuchekana chuon ikawa ipo hata cjui kwa nn, utasikia watu wa tourism eti nyie mtaongea na wanyama cc tunakula kiyoyoz na watalii....let me tell u one thing maisha na koz za vyuon ni vitu viwili tofauti, nina mwaka na mwez kazin bt namshukuru mungu nimemaliza kajumba na kumudu kutembelea ------ just with in a year, so kufanikiwa asilimia 80 kunategemea self strugle, 5% kituo cha kaz, 6% koz ulosoma, 9%godfather.
 
We utakua SHARO coz masharo ndio hawapendi hizo. Elimu ni elimu tu hata kama unasoma BA ya takataka. Kama wito utapata tu ndio mana upo Chuo ili ujazwe material na ethics za ualimu la sivyo wangekupeleka tu ukafundishe. Na sio lazima ukisoma hiyo ndio utakuw Mwl. Mimi ni Eng Katika fani fulani lakini ni Mwl. Ila nafundisha katika fani hiyo. So unaweza ukasoma fani unayotaka na still ukawa Mwl coz kila fani hapa duniani lazima itakuwa na Mwl. NOMA SANA
 
We utakua SHARO coz masharo ndio hawapendi hizo. Elimu ni elimu tu hata kama unasoma BA ya takataka. Kama wito utapata tu ndio mana upo Chuo ili ujazwe material na ethics za ualimu la sivyo wangekupeleka tu ukafundishe. Na sio lazima ukisoma hiyo ndio utakuw Mwl. Mimi ni Eng Katika fani fulani lakini ni Mwl. Ila nafundisha katika fani hiyo. So unaweza ukasoma fani unayotaka na still ukawa Mwl coz kila fani hapa duniani lazima itakuwa na Mwl. NOMA SANA

masikini na usharo wapi na wap[i me mbona good boy kabisa....
 
broo nimependa mawazo yako kwa hyu jamaa!...but mwenyewe nina tatzo kama lake...nilpenda sana kusoma doctor of medcine...but nimechaguliwa science in midwifery muhimbili universty!...na mkopo 100%...but bado struggle kukubaliana na hal hii though inansumbua!...please npe ushaur wako!
 
Time is time b4 times to you so ukifanya nyodo utakuja kujuta mara ya pili zaidi unavyo juta wengine wanawaza kurisiti ili wapate angalau pass ya kuingia chuo chochote kile ilamradi kimesajiliwa,sikwamba uko pekeyako hata mm hapa nilipo if diety shall wish nitaenda saint joseph kusomea kozi kama hiyo na sihilo 2 unaweza kusomea na kuajiliwa halafu utajiendeleza ngazi ya juu kama umesomea masomo ya sayansi unaweza kwenda kupiga mambo ya civil,electrical,mechanical etc sikwamba na kufaliji wala nn huu niukweli ninao uona kwa macho yangu.God help u in all till the eternal of ur life.
 
Mkuu jaribu kumshukuru Mungu kwa kile ambacho amekujaalia kwa kuwa amewanyima wengi akakuteua wewe...si kwamba wewe ni genius sana kushinda wengine no!..bali amekuteua wewe , amekubariki wewe kati ya maelfu ya wanafunzi waliofeli , amekubaliki wewe kati ya maelfu ya wanafunzi waliokosa mikopo..hivi hujioni mwenye bahati kwa baraka hizi ulizobarikiwa?...hata sisi wengine hatukupenda kuishia njiani kuwa watu wa kubangaiza..hata hicho unachokiona kidogo wengine hatukujaaliwa kukipata..na hii ina maana..when you win something ,somebody loose something..so mkuu shika kile ambacho umejaaliwa kwa mikono mitatu, huku ukijua kuwa kuna wengine wamekikosa...hata hivyo kuwa mwalimu haimaanishi utakuwa teacher miaka yote...GOLDEN CHANCE NEVER COME TWICE.

hata ng'ombe aliuona umuhimu wa mkia wake baada ya huo mkia kukatika. kuna msemo kuwa 'kazi ni mbaya ukiwa nayo'
use your baed as a stepping stone for further studies. shida yenu nyie kikaa kwenye discussions mnaota ndoto za kuwa watu fulani wa matawi ya juu. thinking big is okay but be realistic kijana.
 
Napata picha kwanini wadogo zetu wanafeli...kama haya ndio mawazo ya walimu walioko vyuoni..tutegemee majanga.
 
Nafikiria kuwa mwanasiasa, au mjasiriamali nadhani huku ndo wito wangu uliko......!

JK Nyerere alikuwa mwalimu, akaingia kwenye harakati za ukombozi wa nchi ya Tanganyika akiwa mwalimu. ameongoza nchi akiwa mwalimu. Mungu amempenda zaidi akiwa mwalimu. tunapoanza kulitaja jina lake tunaanza na neno Mwl. kuna walimu wajaliamali. mwenda tezi na omo hurejea ngamani
 
Nafikiria kuwa mwanasiasa, au mjasiriamali nadhani huku ndo wito wangu uliko......!

Mwanasiasa sio fani ya kielimu au unataka kuwa mchambuzi wa masuala ya kisiasa?????
Kaangalie cv za wabunge kama sample ya wanasiasa uje na majibu ya elimu zao!!!

Suala la ujasiriamali fungua thread jukwaa husika tutakuja huko na wataalamu wapo humu mpaka utashaa!!!!

Kwa sasa zingatia ulichonacho dogo!!!!
 
Poleni wote tuliokosa mkopo,mimi ni kiongozi wa lile kundi la watu thelathini na 32,tuliokutana na kamati ya maendeleo ya jamii ya Mwenyekiti Mh.Magreth Sitta kuomba na kuishinikiza serikali kutupatia ada ya chuo,tuliangaika sana wiki nne barabarani ila mwishowe ikatolewa bilion 3.1,huwezi amini na juhudi zote jina langu halpo kwa wategemewa wa mkopo,hivyo basi kwa moyo mpya nimeamua kuanzisha harakati nyingine ambayo itawashilikisha wakuu wa nchi hii hadi Mh.Rais,ninaimani sana bodi wanafanya mambo kinyume hawako kwa masilahi ya wanafunzi na umma wapo kwa masilahi yao,hivyo basi kwa yeyote anayejua kuwa suala la yeye kukosa mkopo kwake ni hujuma na hajalidhka na maamuzi ya bodi mfano kupewa sababu feki kama kumaliza shule miaka mitatu nyuma na sio kweli,kutuma fomu ya maombi bodi na yeye kuambiwa hajatuma na wakati una list ya EMS,kutukanwa na wafanyakazi wa bodi kwa aina yoyote ile tafadhali tuwasiliane kupitia 0712177649,tushrikiane kwa ili.HAKI INACHELEWESHWA ILA HAIDHULUMIWI.
 
kwa matamshi yako mungu amekusikia hivyo utadisko mda si mrefu halaf mwakani utaapply upya.....sisi tunakimbizana na watoto lakin mwisho wa mwezi uhakika japo si kingi sana,hapa nimetoka kuchek salio mweee akaunt imetuna Ahsante mungu,hata mitume wa mungu walikuwa ni walim je wangemwambia mungu hawana mzuka na watoto ingekuaje?...kama kwel huupendi ualimu uache tuone!...baadae jaman mim week hii ni T.O.D. Naenda kuwaanda form four wana mitihan next week msiokuwa na mzuka na ualim endeleen hivohivo!.

walimu oyeeeeeeeee
 
Pole mkuu kwa hilo,hilo tatizo sio lako peke yako ni la wengi tu,ila inabidi umshukuru Mungu kwa hyo chance kwan wengi bado wanaitaman,kifupi na kilichobaki ni kujiangalia ni kwa vipi kupitia elimu unayoipata unaweza kutoka kimaisha na usiifanye akili iwaze na kuendelea kujutia kuwa katika sehem unayohisi siyo. kuna rafiki angu mmoja naye aliambiwa na baba yake achague education yes alifanya hvo ila akashawishiwa na marafik zake siku tatu kabla akaenda kubadilisha akajaza economics, yan sahz anajutia maamuzi mana baba yake anamtoa pesa kidogo sana ya matumizi, kwa hyo think big bro kwan hata hiyo baed unayoichukulia poa ipo cku utasema ni bora nipo huku
 
We z.o.m.bi nini?? sasa unauliza nini kama hutaki si uache na uapply mwakani koz unayoitaka!,
 
Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.
 
Ww dogo acha mbwembwe utakufa maskini, endelea kuchagua courz uone, mm namshukru mungu kwa courz niloxoma
 
Back
Top Bottom