Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Acha utabili mkuu. Mpira unadunda hivyo timu yoyote inaweza kushinda. Ambayo haiwezekani kupewa kipaumbele kushinda ni yanga kwa sbb tayari ilishatolewa mapeeeeema.[emoji23][emoji23]Habari wakuu
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Unadunda kweli nlicho kiona Botswana na kilicho tokea kwa mkapa kilinishangazaAcha utabili mkuu. Mpira unadunda hivyo timu yoyote inaweza kushinda. Ambayo haiwezekani kupewa kipaumbele kushinda ni yanga kwa sbb tayari ilishatolewa mapeeeeema.[emoji23][emoji23]
HapanaKwasababu tumeanzia nyumbani ndio fact?
Hapana mimi ni shabiki wa SimbaUngekua wewe ndo kocha wa simba kidogo tungestuka! Lakini kwakua ni big utopolo wala hatushangai.
Mke mwenzie na msukule kanye ukalalwe na gsm.Habari wakuu
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
No 6= lwanga, mnaemuita mkata umeme.Habari wakuu
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Wachezaji wa Botswana na wa Zambia ni tofautiUnadunda kweli nlicho kiona Botswana na kilicho tokea kwa mkapa kilinishangaza
Unadunda haswa ... Na ndicho kilichotokea Simba vc Mufurila Wanderers miaka ile ; Simba ilivyosonga mbele baada ya kufungwa 4-0 Dar na kushinda 5-0 Kitwe, Zambia.Unadunda kweli nlicho kiona Botswana na kilicho tokea kwa mkapa kilinishangaza
Muwahini Aucho akawaokoe maana mpaka msubiri yanga atafute wachezaji kisha mpanue madomo kuwataka.Unadunda haswa ... Na ndicho kilichotokea Simba vc Mufurila Wanderers miaka ile ; Simba ilivyosonga mbele baada ya kufungwa 4-0 Dar na kushinda 5-0 Kitwe, Zambia.
Kwamba Botswana wapo vizuri zaidi ya Zambia?Wachezaji wa Botswana na wa Zambia ni tofauti
Ndo ushangae sasa.Kwamba Botswana wapo vizuri zaidi ya Zambia?
Hahahaa, gear river ni hatariiiiChimba lazima akalie Liboro Fc ile ya Angola kama sikosei.hana kikosi chochote maana.wakati wenzie wana sajili yeye akaona achukue vitoto vya shule sijui ana mpango wa kufungia kindagateni
Kikosi kizuri mbona, tuwape nguvu hawa ndo wachezaji tulonao! Hivyo naiman watatupa furahaHapana mimi ni shabiki wa Simba
Ila nimeandika kwa kuzingatia hali ya kikosi kilichopo sasa