Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Yanga acheni kukatisha tamaa watu, Simba bado ni imara kabisa, haiwezekani eti wameondoka wachezaji wawili tu, uje hapa hizo generalization za utopolo!
Hivi Mbona kuna timu huwa zinachezea mechi zote viwanja vya ugenini na kuvuka? Mpira ni dakika 90 , njoo umshangilie mnyama anavotafuna Mzambia!
Hivi Mbona kuna timu huwa zinachezea mechi zote viwanja vya ugenini na kuvuka? Mpira ni dakika 90 , njoo umshangilie mnyama anavotafuna Mzambia!