Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Kikosi kizuri mbona, tuwape nguvu hawa ndo wachezaji tulonao! Hivyo naiman watatupa furaha
Habari wakuu
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Mitopolo kelele za Aucho ka za vyura wa kijani.. hafikii hata nusu ya kiwango cha Ajibu.Muwahini Aucho akawaokoe maana mpaka msubiri yanga atafute wachezaji kisha mpanue madomo kuwataka.
Au kanoute, banda, sakho, kibu wanawatosha?
Yanga hawakuwahi kumuona OKWI kabla hajaja simba?Muwahini Aucho akawaokoe maana mpaka msubiri yanga atafute wachezaji kisha mpanue madomo kuwataka.
Au kanoute, banda, sakho, kibu wanawatosha?
Tusubiri mechi zote mbili ziishe, tutarudi tena hapa.Habari wakuu,
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
We Kyurra njoo ufute uharo wako huku.Mbwa Mzee hafundishwi kuwinda, ata kocha awe zidane, uwezo umeshafika kikomo.
Eeeh unasemaje mzee sasa njoo utuelezeHabari wakuu,
Kwa tathmini yangu fupi sioni nafasi ya Simba Kuwatoa hawa Wazambia hasa ukizingatia tumeanzia nyumbani.
Simba inabidi dirisha dogo ishughulikie kuboresha eneo la namba 6,10 na 9 hapo kuanzia msimu ujao wanaweza tena kucompete.
Kwa kiwango cha leo cheo cha uwakili msomi hakimfai tena. Anastahili awe jaji wa mahakama ya rufani.
Mbona maneno Ni yale yale KILA sikuChimba lazima akalie Liboro Fc ile ya Angola kama sikosei.hana kikosi chochote maana.wakati wenzie wana sajili yeye akaona achukue vitoto vya shule sijui ana mpango wa kufungia kindagateni
Hizi ndiyo akili za utopolo. Kuna kipie utaandika Cha maana.No 6= lwanga, mnaemuita mkata umeme.
Imekuaje tena, hafai au hakati kama tanesco?
No 10, Bwalya, mnarmuita magician mtu wa miujiza, vip tena hachezi vzr au hana miujiza yyte?
No 9, Kagere mnaemuita the ball striker. Imekuaje tena, hafungi vzr?
Basi tutawapa Aucho bure, maana mtasingizia kua mlimkosa Aucho ndo maana mkatolewa na makhirikhiri na wapiga mishale myekundu.