Pua zangu zina nusa vizuri sijapata tatizo la kuto nusaJaribu ganja inazibua nerves za kwenye pua
Mzee punguza Mbegu ni mbaya na ukiichukua unatakiwa kuisokota vizuri na iwe imekauka halafu nunua rizzla achana na magazeti halafu itandike chumbani....Sasa we unachukua na mbegu unataka uskie harufu??Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.
Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.
Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.
Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.
Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
Sante, nina wezaje fanya hawa bacteria wanao leta harufu mbaya kuondoka moja kwa moja?Antibiotic imeondoka na bacteria wanaoleta harufu katika mwili wako. Dozi ikiisha hali itakuwa kama mwanzo
Inaonekana umebobea weye .Mzee punguza Mbegu ni mbaya na ukiichukua unatakiwa kuisokota vizuri na iwe imekauka halafu nunua rizzla achana na magazeti halafu itandike chumbani....Sasa we unachukua na mbegu unataka uskie harufu??
Ukimaliza dawa harufu ya mwili itaongezeka maradufu.Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.
Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.
Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
Ongeza bidii, hadi funza wazaliane mdomoni kwakoBaada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.
Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.
Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
Sante huwa mtumiaji sana wa deodorant na sabuni za Antibicteria itabidi niache kwanjinsi hali ilivyo bora niongee na Dr anipatie hivyo vidonge vya probiotics ili nisije patwa na hali mbaya zaidi .Shukrani kwako .Ukimaliza dawa harufu ya mwili itaongezeka maradufu.
Kwa sasa bacteria wanao produce trimethylamine (chanzo cha harufu mbaya ambayo huwa unainusa mwilini mwako) kwenye intestines zako, wamepungua kutokana na baadhi yao kuuliwa na dawa unayotumia.
Wale bacteria wanaotengeneza trimethyl amine, ambao watakinzana na dawa hiyo unayoitumia sasa watasalia na, ndiyo hao, watazalisha kiwango kikubwa zaidi cha trimethylamine kwenye intestines. Hii itapelekea wewe utoe harufu zaidi baada ya hizo dawa.
Suluhisho
Kama harufu itarudi kwa wingi:
1. Ongea na daktari wako akupe vidonge vya probiotics
2. Tumia yorghut au mtindi kila siku
3. Punguza au acha kula nyama na samaki wa maji chumvi
4. Punguza kula maharage na njegere au karanga.
5. Tumia sabuni isiyo na marashi wakati wa kuoga
6. Usijipake perfume au roll on yenye perfume
Huwa najinusa najisikia hatariTanzaman dah nimelielewa sana hili jina tanzaman..kuhusu mdomo sidhan km unaweza kujijua mwenyewe mhemehe mtu
Kwanini hujapiga mswaki siku tatu???Baada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.
Kinacho nishangaaza ni kwamba sija piga mswaki kwa siku tatu na mdomo hauna harufu, nikienda kujisaidia choo hakina harufu, kifupi ni kwamba body ordur imeondoka, kikwapa sikisikii.
Je, hii inasababshw ana hizi Antibiotic niliyo chomwa nayo sindano na kama ndio itakaa kwa muda gani sababu nina nina furahia kuto toa harufu yoyote.
Sifahamu mkuu, labda kama kuna mtu anyaefahamu atijuze hapaSante, nina wezaje fanya hawa bacteria wanao leta harufu mbaya kuondoka moja kwa moja?
Hivi mtindi una bacteria inayoitwa lactobacillus reuteri?Ukimaliza dawa harufu ya mwili itaongezeka maradufu.
Kwa sasa bacteria wanao produce trimethylamine (chanzo cha harufu mbaya ambayo huwa unainusa mwilini mwako) kwenye intestines zako, wamepungua kutokana na baadhi yao kuuliwa na dawa unayotumia.
Wale bacteria wanaotengeneza trimethyl amine, ambao watakinzana na dawa hiyo unayoitumia sasa watasalia na, ndiyo hao, watazalisha kiwango kikubwa zaidi cha trimethylamine kwenye intestines. Hii itapelekea wewe utoe harufu zaidi baada ya hizo dawa.
Suluhisho
Kama harufu itarudi kwa wingi:
1. Ongea na daktari wako akupe vidonge vya probiotics
2. Tumia yorghut au mtindi kila siku
3. Punguza au acha kula nyama na samaki wa maji chumvi
4. Punguza kula maharage na njegere au karanga.
5. Tumia sabuni isiyo na marashi wakati wa kuoga
6. Usijipake perfume au roll on yenye perfume
Kwahiyo jamaa anapiga kushabu kimtindo ama nini mkuuMzee punguza Mbegu ni mbaya na ukiichukua unatakiwa kuisokota vizuri na iwe imekauka halafu nunua rizzla achana na magazeti halafu itandike chumbani....Sasa we unachukua na mbegu unataka uskie harufu??
We ni mchafu sanaBaada ya kuonana na dakitari na kufanya vipimo nimekutwa sina tatizo la magonjwa ya zinaa ialkini nikakutwa na UTI nikapewa dozi ya sindano ya kuchoma kwnye mshipa kwa siku tano.