Sijaafiki mchezo wa JKT Ruvu na Yanga

Sijaafiki mchezo wa JKT Ruvu na Yanga

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
sipingi jkt ruvu kufungwa na yanga goli 3-1 hapana napinga aina ya uchezaji wa jkt ruvu sio mpira ambao anaocheza jkt ruvu kama mtu anaifuatilia aina ya uchezaji wa jkt atakubaliana na mimi
 
Hao JKT Ruvu wangekuwa wanacheza hivyo unavyopambanua wewe kuwa ni vizuri kwa nini hawaongozi ligi sasa?
 
sasa ulitaka wachezeje hivi kwanini siku yanga ikishinda baadhi yenu hamuishiwi na maneno ya chinichin? sasa na kwa taarifa yako si kwa jkt tu yoyote atakaye katiza mbele yetu tunapiga kama kawaida daima mbele nyuma mwik.
 
Kwani nani asiyejua kuwa YANGA ndiye mnunuaji mechi mahiri katika ligi ya bongo....ukimaliza kushangaa hiyo rudi nyuma na ushangae mechi yao na MBEYA CITY iliyopelekea kipa wa mbeya city kutimuliwa kwa kumzawadia goli ngasa......pia utastaajabu ya MTIBWA.........
 
Hizo mechi yanga ananunua akishinda ila akifungwa basi hakununua
 
Kwani nani asiyejua kuwa YANGA ndiye mnunuaji mechi mahiri katika ligi ya bongo....ukimaliza kushangaa hiyo rudi nyuma na ushangae mechi yao na MBEYA CITY iliyopelekea kipa wa mbeya city kutimuliwa kwa kumzawadia goli ngasa......pia utastaajabu ya MTIBWA.........
Hukumbuki mlichofanya kwa prisons!!!!
Umesahau kuwa ule ushindi wa goli 5 ulikuwa wa mipango????
Kama huna cha kuongea ni vema ukanyamaza kuliko kulopoka lopoka hovyo,,,
 
sipingi jkt ruvu kufungwa na yanga goli 3-1 hapana napinga aina ya uchezaji wa jkt ruvu sio mpira ambao anaocheza jkt ruvu kama mtu anaifuatilia aina ya uchezaji wa jkt atakubaliana na mimi
We ulitaka wachezaje!!
Mbeya city, tz prison, kagera suger, mgambo jkt, mtibwa suger, coast union na wengine waliopata dozi kutoka kwa timu pendwa ya wananchi utasemaje?
Acha wivu wa kishamba wewe kama mwanamke aliefunganishwa.......
 
Wameshindwa kununua mechi ya Simba tu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
sasa ulitaka wachezeje hivi kwanini siku yanga ikishinda baadhi yenu hamuishiwi na maneno ya chinichin? sasa na kwa taarifa yako si kwa jkt tu yoyote atakaye katiza mbele yetu tunapiga kama kawaida daima mbele nyuma mwik.

Dume la kupiga tano tano haliwaachii
 
Ni kweli kabisa yanga ndo timu inayoongoza kwa kununua mechi hata ile mechi na swazilanda pamoja na ile na platinam walinunua,na mechi na azam wameshanunua, na mzee bakhresa kashapokea advance ya milioni 6 kati ya milion 11...ushaidi ninao
 
sipingi jkt ruvu kufungwa na yanga goli 3-1 hapana napinga aina ya uchezaji wa jkt ruvu sio mpira ambao anaocheza jkt ruvu kama mtu anaifuatilia aina ya uchezaji wa jkt atakubaliana na mimi

hata mimi pia sipingi Tanzania prisons kufungwa na simba goli 5-0 ,hapana
napinga aina ya uchezaji wa tanzania prisons sio mpira
ambao alicheza tanzania prisons dhidi ya azam kwenye ile droo ya 0-0 kama mtu alifuatilia
aina ya uchezaji wa tanzania prizons dhidi ya azamu atakubaliana na mimi kuwa siku ile simba alinunua mechi.haiwezekani yule kipa wa prisons aliyekuwa kikwazo kikubwa kwa azamu kufunga magoli siku ya simba ateme mipira kishamba shamba mbele ya wachezaji wa simba tena anawawekea miguuni kabisa na ofa ya penati juu
 
Hiyo ndio sifa ya mwanamke mbea,
Mashabik wa simba kama mwanamke mbea tu?
 
Back
Top Bottom