wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
sipingi jkt ruvu kufungwa na yanga goli 3-1 hapana napinga aina ya uchezaji wa jkt ruvu sio mpira ambao anaocheza jkt ruvu kama mtu anaifuatilia aina ya uchezaji wa jkt atakubaliana na mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumbuki mlichofanya kwa prisons!!!!Kwani nani asiyejua kuwa YANGA ndiye mnunuaji mechi mahiri katika ligi ya bongo....ukimaliza kushangaa hiyo rudi nyuma na ushangae mechi yao na MBEYA CITY iliyopelekea kipa wa mbeya city kutimuliwa kwa kumzawadia goli ngasa......pia utastaajabu ya MTIBWA.........
We ulitaka wachezaje!!sipingi jkt ruvu kufungwa na yanga goli 3-1 hapana napinga aina ya uchezaji wa jkt ruvu sio mpira ambao anaocheza jkt ruvu kama mtu anaifuatilia aina ya uchezaji wa jkt atakubaliana na mimi
sasa ulitaka wachezeje hivi kwanini siku yanga ikishinda baadhi yenu hamuishiwi na maneno ya chinichin? sasa na kwa taarifa yako si kwa jkt tu yoyote atakaye katiza mbele yetu tunapiga kama kawaida daima mbele nyuma mwik.
sipingi jkt ruvu kufungwa na yanga goli 3-1 hapana napinga aina ya uchezaji wa jkt ruvu sio mpira ambao anaocheza jkt ruvu kama mtu anaifuatilia aina ya uchezaji wa jkt atakubaliana na mimi
Hiyo ndio sifa ya mwanamke mbea,hata mimi pia sipingi Tanzania prisons kufungwa na simba goli 5-0 ,hapana
napinga aina ya uchezaji wa tanzania prisons sio mpira
ambao alicheza tanzania prisons dhidi ya azam kwenye ile droo ya 0-0 kama mtu alifuatilia
aina ya uchezaji wa tanzania prizons dhidi ya azamu atakubaliana na mimi kuwa siku ile simba alinunua mechi.haiwezekani yule kipa wa prisons aliyekuwa kikwazo kikubwa kwa azamu kufunga magoli siku ya simba ateme mipira kishamba shamba mbele ya wachezaji wa simba tena anawawekea miguuni kabisa na ofa ya penati juu