sijaelewa hapa naomba ufafanuzi kwa mwenye kujua

sijaelewa hapa naomba ufafanuzi kwa mwenye kujua

maleka

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
143
Reaction score
33
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

POSTGRADUATE STUDIES FEE STRUCTURE
Nimekuta total fee ktk fani za sayansi na biashara ni tsh.
6,375,000/= kwa 18 months na tsh. 8,500,000/= kwa 24months,,
pia wanasema kuna baadhi ya fee ambazo ni Direct Student Costs (Payable direct to the student) hii inajumuisha stationary,books na stipend,,


je hizi anapewa mwanafunzi baada ya kulipa idadi iliyotajwa hapo juu au mwanafunzi anatakiwa kuzilipa hizi pia?
msaada kwa mwenye ujuzi
thanks
 
Back
Top Bottom