Acha mitazamo hasi, hapa tunajifunza masuala wewe kama haikusaidii kaa na unyonge wako! Sio lazima uonyeshe wivu wakoMambo ya kike yatakusaidia nn ww.umeambiwa alikuwepo first lady w zanzibar. Inatosha
Thanks kiongoziMkuu mavumbi, kwanza asante kwa kutuhabarisha kuhusu hii ziara ya Rais wa JMT kutembelea Kazimkazi mahali alipozaliwa. Sasa hiki ni kijiji muhimu kama Butiama kwa Mara, Chato kwa Geita na sasa Kizimkazi Zanzibar