Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,572
- 5,945
Acha inyeshe tuone panapovuja😂😂
Apo maana ake sio lazma inyeshe ndo tuone kama panavuja, hata ukimwagilia maji tu patavuja maana matobo bado yanaendelea kutobolewa.. 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha inyeshe tuone panapovuja😂😂
Tank la plastic halina maji, mama anaenda kuhemea ila familia ipate maji lakini kuna wakorofi wanatoboa tank.. Na mama hawaoni
Mama anahujumiwa
Mama anajitahidi Kujenga nchi lkn Kuna watu wanamhujumu.
Mwezi.Huyo mtoboaji ni nani?.
Dr Lalama eti naye anajua kuelezea kila kitu !!!!jamani hii type ya hawa ndugu zetu ndiyo chanzo cha umasikini!!Mama anatoka kuhemea pesa nje, akizileta watoto tundu wanazidokoa