Acha inyeshe tuone panapovuja😂😂
Tank la plastic halina maji, mama anaenda kuhemea ila familia ipate maji lakini kuna wakorofi wanatoboa tank.. Na mama hawaoni
Mama anahujumiwa
Mama anajitahidi Kujenga nchi lkn Kuna watu wanamhujumu.
Mwezi.Huyo mtoboaji ni nani?.
Dr Lalama eti naye anajua kuelezea kila kitu !!!!jamani hii type ya hawa ndugu zetu ndiyo chanzo cha umasikini!!Mama anatoka kuhemea pesa nje, akizileta watoto tundu wanazidokoa