Sijaelewa Naibu Spika Tulia Ackson alimaanisha nini kwa alichopostí kwenye ukurasa wake wa Facebook

Pitia ukurasa huo vizuri, mbona amekuwa mtu wa kupost vitu kama ivyo kwajili ya kufurahisha muda mrefu tu.

Wewe ulivonaakili nyingi ukaona ni fumbo, basi tuletee na nyingine zote zenye ufanano na iyo alizokuwa akipost kitambo tu ili tufumbue mafumbo yasiyokuwepo.
 
Anamaanisha nchi imeuzwa kwa wazungu wa royal tour
 
Uko sahihi,huyo mama huwa ana post vitu kama hivo sana tu, jokes sana anapenda.
Sometime muwe mnakua positive.
 
Kwa nini naibu spika aposti vitu ambavyo pengine hata yeye hajui maana yake? Ukiwa public figure you need to be very careful with what you post and share aisee...
 
Ni sawa na mgao wa pesa ya mboga watu wamepata lakini bado wanamng'ang'ania yule mwamba.....
 
Kwa nini naibu spika aposti vitu ambavyo pengine hata yeye hajui maana yake? Ukiwa public figure you need to be very careful with what you post and share aisee...

Unacomplicate sana ndugu yangu😂😂😂😂😂😂😂😂

Sasa we ulivoona hyo picha umeitafsri vipi tuanzie hapo kwanza😂😂😂😂😂
 
Unacomplicate sana ndugu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa we ulivoona hyo picha umeitafsri vipi tuanzie hapo kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kunielewa leo but kuna siku utanielewa, sema tuu hawa viongozi wetu hata akikosea atakanusha tuu na kwa vile wamejiwekea kinga ya kutoshitakiwa twende nao hivyo hivyo tuu...
 
mbona kawaida kwani naibu speaker yeye sio binadamu? na hana utashi na hulka za kibinadamu? unataka useme yy hacheki wala hanuni pia unadhani yy hafurahishwi wala kuchekeshwa? acha utoto ndugu mtoa post viongozi nao ni binadamu wanakunya wanajamba na wanatom,,,bana mda mwingine kifo cha mende na mbuzi kagoma, pia kuna wengine wanaliwa tg na wengine wanakula kwa hiyo kuwa cereb au mtu maarufu haina maana kuwa utashi wa kibinadamu unakuondoka maisha ni yaleyale fikra ni zilezile tatzo ni kuwa wao ni viongoz over. na hapo hakuna la ajabu alilofanya tatzo mtoa post ni mtoto
 
Mbozyolife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…