Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
11.30 bado giza, wenge la usingizi hilo.Alfajiri ya Leo kwenye saa 11:30 hivi natoka nyumbani naenda kwenye mihangaiko yangu! Nilikuwa upande wa magari yanayorudi toka mjini! Upande wa magari yanayoenda mjini kulikuwa na msururu wa magari, gari ya mwisho ilivyomalizikia ghafla mbele yangu upande huo nikaona jeneza katikati ya Barabara nikafikicha macho labda sioni vizuri jamani ni jeneza kabisaa jeneza!!!na nilikuwa kwenye 40km/h yaani nimeona vizuri kabisa,Sasa sijaelewa lilikuwa linasafirishwa limedondoshwa kama limedondoshwa ina maana waliokuwa nalo hawajaona??? Sielewi nini kimetokea au kama kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hiyo wananzengo!!
Good. Sasa inashauriwa ukikutana na kadhia za namna hiyo unafyeka huku ukiwa umefumba machoDarasani vs field my dear hapo kwenye kupita nalo hapo!!!!
Noma sana!Alfajiri ya Leo kwenye saa 11:30 hivi natoka nyumbani naenda kwenye mihangaiko yangu! Nilikuwa upande wa magari yanayorudi toka mjini! Upande wa magari yanayoenda mjini kulikuwa na msururu wa magari, gari ya mwisho ilivyomalizikia ghafla mbele yangu upande huo nikaona jeneza katikati ya Barabara nikafikicha macho labda sioni vizuri jamani ni jeneza kabisaa jeneza!!!na nilikuwa kwenye 40km/h yaani nimeona vizuri kabisa,Sasa sijaelewa lilikuwa linasafirishwa limedondoshwa kama limedondoshwa ina maana waliokuwa nalo hawajaona??? Sielewi nini kimetokea au kama kuna mtu alishawahi kukutana na situation kama hiyo wananzengo!!