smati
Senior Member
- Dec 24, 2010
- 149
- 5
Ivi wanawake kulinga linga wakati wanatongozwa wanafanya makusudi au ni kujifnya hawataki wakati wanataka. Mara simu kakata, mara majibu ya mkato, mara nimechoka siwezi kuongea, mara kazima simu etc. Japo kwa wanaume huongeza mungari ya kumpenda sijaona maana yake. Kama mtu unamzimia si umpe jibu mapema kwamba umemzimi kuliko kumhangaisha mwanamume kiasi hicho wakati kitu unakizimia. Na kwanini mnatoa machozi au kuanza wivu huyo unaye mlingia akimpata mrembo mwingine?? Acheni hizo.