Sijaelewa

Sijaelewa

smati

Senior Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
149
Reaction score
5
Ivi wanawake kulinga linga wakati wanatongozwa wanafanya makusudi au ni kujifnya hawataki wakati wanataka. Mara simu kakata, mara majibu ya mkato, mara nimechoka siwezi kuongea, mara kazima simu etc. Japo kwa wanaume huongeza mungari ya kumpenda sijaona maana yake. Kama mtu unamzimia si umpe jibu mapema kwamba umemzimi kuliko kumhangaisha mwanamume kiasi hicho wakati kitu unakizimia. Na kwanini mnatoa machozi au kuanza wivu huyo unaye mlingia akimpata mrembo mwingine?? Acheni hizo.
 
Ivi wanawake kulinga linga wakati wanatongozwa wanafanya makusudi au ni kujifnya hawataki wakati wanataka. Mara simu kakata, mara majibu ya mkato, mara nimechoka siwezi kuongea, mara kazima simu etc. Japo kwa wanaume huongeza mungari ya kumpenda sijaona maana yake. Kama mtu unamzimia si umpe jibu mapema kwamba umemzimi kuliko kumhangaisha mwanamume kiasi hicho wakati kitu unakizimia. Acheni hizo.

hahahhaaaa,kaka una hasira,wakat mwingne mwanamke akikukubal haraka hata wewe unapata wasiwasi,pia inamshushia credibility,binafsi ndio naona hivyo,ingawa pause zisizid,
ila tumia strategy za kueleweka hawa mbona wameumbwa kwa ajili yetu,wanapatikana tu,inayegemea umejipangaje mkulu
 
hahahahahaha! Sa haya maneno uliyoandka hapa umeshamwambia na huyo mwanamke alyekukataa??? Manake sina hakika kama anayajua!
 
wawe makini goodmen hawajui kutongoza ila wanajua kupenda, ndio maana badmen wanawapata wanawake warembo.
 
Huu ni mtihani wa pili kwangu, kutongoza. Ila inabidi utayarishe soft landing kwanza, usiende mzima mzima.
 
Hilo ni kweli kwa sababu, akishtukia kuwa unalegeza uhusiano anajirudi kiana. Ofcourse ni kawaida hata kuku tetea lazima akimbizwe, atapanda juu ya miti, atshuka lakini mwisho atakubali. naamini ni kawaida yao, ila wengine wamezidisha mapozi hadi jamaa wakatokomea.
 
Sijakataliwa, mbona unataka kuniondolea utamu, mimi nafurahia. sio mtu unamtongoza leo kesho kesha kubali.
 
Kukataliwa kubaya wajameni.........................


Mbona unashabikia kukataliwa. Mwanaume ni mtafutaji lazima asumbuliwe. Makahaba tuu ndio wanahitaji dakika moja. lakini watu wazuri kama Dena amsi ni wasumbufu kistaarabu.
 
Waambie hawa hawajui, wanataka maneno mazuri kumbe fainali ni ndani ya ndoa.
 
Khaaaa kuringa muhimu
tukikubali kirahisi mnaanza
mmmmhhhh anamatatizo gani
daahh kakubali haraka hivyo au ni
muhuni nini..?

Mbali na hiyo tunataka kuonaJe we ni mvumilivu..?
Na tunapenda kuchukua mudakuwachunguza kidogo..
hii ni kama tunataka kuwa na wewe kwa muda eg boyfriend
partner , friend with binefity etc
 
hahahahahaha! Sa haya maneno uliyoandka hapa umeshamwambia na huyo mwanamke alyekukataa??? Manake sina hakika kama anayajua!


Seewt lady , siwezi kumwambia maana nitakatisha utamu. kulinga ni nature ya mwanamke na si mwanaume.
 
Khaaaa kuringa muhimu
tukikubali kirahisi mnaanza
mmmmhhhh anamatatizo gani
daahh kakubali haraka hivyo au ni
muhuni nini..?

Mbali na hiyo tunataka kuonaJe we ni mvumilivu..?
Na tunapenda kuchukua mudakuwachunguza kidogo..
hii ni kama tunataka kuwa na wewe kwa muda eg boyfriend
partner , friend with binefity etc
Du kweli afreo umesema. I live that. na sisi hatupendi watu rahisi, ndio maana mwanamke akijipendekeza mwenyewe mara nyingi anakuwa rejected.
 
Du kweli afreo umesema. I live that. na sisi hatupendi watu rahisi, ndio maana mwanamke akijipendekeza mwenyewe mara nyingi anakuwa rejected.

Nashukuru kwa kuwa
muelewa chunga lakini
Si wote waringaowana nia nzuri
wengine mmmhh lakini watakuringia
sababu wanajua ni kivutio kwako ..
just be careful..
 
Hata ukirusha ndoana baharini haishiki samaki hapo hapo....la sivyo wavuvi wasingekesha baharini.
 
hayo ni maneno tu ya mkosaji!!

Hata kwenye kanga yapo!!!
 
Mbona unashabikia kukataliwa. Mwanaume ni mtafutaji lazima asumbuliwe. Makahaba tuu ndio wanahitaji dakika moja. lakini watu wazuri kama Dena amsi ni wasumbufu kistaarabu.

Ha ha ha ha mchokozi wewe bana haya
 
Back
Top Bottom