Ivi wanawake kulinga linga wakati wanatongozwa wanafanya makusudi au ni kujifnya hawataki wakati wanataka. Mara simu kakata, mara majibu ya mkato, mara nimechoka siwezi kuongea, mara kazima simu etc. Japo kwa wanaume huongeza mungari ya kumpenda sijaona maana yake. Kama mtu unamzimia si umpe jibu mapema kwamba umemzimi kuliko kumhangaisha mwanamume kiasi hicho wakati kitu unakizimia. Acheni hizo.
Du kweli afreo umesema. I live that. na sisi hatupendi watu rahisi, ndio maana mwanamke akijipendekeza mwenyewe mara nyingi anakuwa rejected.Khaaaa kuringa muhimu
tukikubali kirahisi mnaanza
mmmmhhhh anamatatizo gani
daahh kakubali haraka hivyo au ni
muhuni nini..?
Mbali na hiyo tunataka kuonaJe we ni mvumilivu..?
Na tunapenda kuchukua mudakuwachunguza kidogo..
hii ni kama tunataka kuwa na wewe kwa muda eg boyfriend
partner , friend with binefity etc
Ahaa ahaaWaambie hawa hawajui, wanataka maneno mazuri kumbe fainali ni ndani ya ndoa.
Du kweli afreo umesema. I live that. na sisi hatupendi watu rahisi, ndio maana mwanamke akijipendekeza mwenyewe mara nyingi anakuwa rejected.
Susy kanga yule mnyama au khanga hii nyingine ya kuvaa lolhayo ni maneno tu ya mkosaji!!
Hata kwenye kanga yapo!!!
Mbona unashabikia kukataliwa. Mwanaume ni mtafutaji lazima asumbuliwe. Makahaba tuu ndio wanahitaji dakika moja. lakini watu wazuri kama Dena amsi ni wasumbufu kistaarabu.