Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Nakumbuka mwaka 2020 nilipoenda kupiga kura nilishangaa yafuatayo.
1. Mpinzani niliyempigia kura hakupata kura hata moja.
2. Baada ya siku kama nne hivi nilionana na rafiki yangu ambaye naye alikua wakala kwenye moja ya vituo (sio nilichopigiankura) alichoniambia ni kuwa kwanza walikula kiapo kwamba watafanya lolote hata kwa kulazimishwa/kinyume cha sheria.
3. Alisema waliambiwa kura yoyote ya mpinzani ichanwe/iharibiwe.
4. Baada ya kupiga kura watendaji kata/kijiji waliingiza kura nyingine ambazo hazikupigwa na wananchi na zote zikapigwa kwa ccm na waisimamizi walitakiwa wahakikishe kura hizi zinaingia (refer kiapo walichokula).
5. Ilitengenezwa vurugu ambayo polisi waliamuru mawakala wote watoke nje, baada ya mawakala kutolewa nje ndio kura chafu zilipenyezwa ndani ya kituo na kuchanganywa na kura za wananchi.
Kwa kweli hiyo siku moyo uliniuma sana nika conclude Tanzania kupiga kura ni kupoteza muda. NA HATA LEO SIJAENDA KUPIGA KURA.